KUNA HALI YA HATARI SANA KATIKA ENEO LA KITUO CHA POLISI KAWE JIJINI DAR ES SALAAM HIVI SASA BAADA YA WANANCHI KUAMUA KUKIVAMIA KITUO HICHO KUTOKANA NA DEREVA MMOJA WA BAJAJI KUDAIWA KUUWAWA NA ASKARI WA JESHI LA WANANCHI AMBAYE ANASHIKILIWA NA POLISI.
Home
Unlabelled
BREAKING NYUZZZZZ......: HALI TETE YATAWALA ENEO LA KAWE HIVI SASA,BAADA YA MWANAJESHI KUDAIWA KUMUUA DEREVA WA BAJAJ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Polepole jamii ya Watanzania tunauhalalisha utamaduni Wa kujichukulia sheria mkononi kwenye tukio. Mungu na atunusuru
ReplyDeletehao wajesh wamezidi kuonea raia
ReplyDeleteWatanzania ni kama vile nyasi kavu sana za kiangazi, jua likizidi kupita kiasi tu basi zinawaka moto, Watu wamechoka na ufisadi na wanahasira hasira kama wendawazimu vile, wnatafuta sababu yeyote ile ili wafanya vurugu, wengine ndo wanajipatua riziki at the same time, bongo arosto, tutamkumbuka mwalimu.
ReplyDeleteProblem ni unemployment - hawa vijana hawana kazi ndiyo maana wanaleta fujo every where. It is hard to justify the existence of a whole Ministry of Youth - what its rol?
ReplyDeleteBadala ya kuachia vyombo vya usalama, wasio na kazi wanaingilia kati!
ReplyDeleteHaya ndio madhara ya umaskini maana wanaona kama wenye magari wanawaibia ndio maana wanafunga barabara. Tukio hili halihusiani na barabara ila wana hasira na "matajiri" na hapo mtu akipita na gari lazima watamshambulia ingawa hausiki na tatizo lao.
ReplyDeleteTanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wotee nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana weeee
ReplyDeletechonde chonde vyombo husika vya dora tunawaomba mpunguze hasira na kujali raia wema
hivi watanzania siku hadi siku wanazidi kuzoea milio ya bunduki na mabomu tofauti na hapo zamani
nakumbuka zamani ukisikia sauti ya bunduki unakimbilia nyumbani kujificha
wakuu wa dora mnapowapeleka watanzania ni kubaya zaidi maana mnawazoesha kinguvu mazoea ya vurugu na milio ya bunduki na mabomu
hayo mazoea yatakuja kuleta hatari zaidi siku za mbeleni kwani watanzania tukishakuwa hatuogopi bunduki wala mabomu ndio mwanzo mbaya
kuna hatari ya kuja kupambana kwa mapigano kati ya vyombo vya dora na raia wema
tunawaomba wahusika msimamie suala hili kwa nguvu zote
tudumishe amani nchini kwetu wengi wanaililia nasi tusichezee
wakuu msilale kabisa kwa mambo kama haya tuonyesheni jitihada zenu kukomesha maonevi
kila mtanzania ana haki sawa ya kujivunia nchi yake na kupata huduma kama mtanzania mwingine
sasahivi wananchi raia wema wamechoshwa kabisa na tabia za kuonewa
Elimu duni kwa mlalahoi
Matibabu duni kwa mlalahoi
Usafiri duni kwa mlalahoi
Ndoto za kuwa na maisha mazuri kwa mlalahoi zimeisha.
Mungu ibariki tanzania wabariki raia wema wa tanzania waangamize viongozi mafisadi na wenye roho mbovu kwa raia wema.
Kiini cha matatizo likiwemo hili na la kuchunja kuwezesha kitoweo mezani ni Umaskini huu mkubwa
ReplyDelete