Hii ndio mshkaki halisia katika taswira hii iliyonaswa na Mdau huko Ubaruku.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. UNYAMA KWA WANYAMA HUWAFANYA WATU KUWA WANYAMA.KAMA NYUMBA ISIYO NA MWENYE.

    ReplyDelete
  2. Amazing!! hapo tatizo letu wabongo ndo hatuoni upande wa pili wa shilingi zaidi ya hiyo ya kuwaza mishikaki.hapo binafsi najifunza uwenzo mkubwa wa akili ya kumudu mambo katika wakati husika aliojaliwa mtanzania.Tufanye mahojiano na watu wa aina hii lazima wana vipaji vingine zaidi ambavyo vikiibuliwa na kuwezeshwa lazima tutapata watu wenye manufaa sana katika jamii yetu.katika akili ya kawaida mtu anamudu mbuzi watano hafu ukizingatia mbuzi alivyo mtukutu hafu anatambaa nao vema kwa bodaboda kyeee.. nampongeza sana huyu kijana nina imani ana fikra njema tena za tija na kukuza uchumi.ni mtazamo wangu tu.

    ReplyDelete
  3. KAMA TUKIWEZA KUUNGANISHA AFYA YETU NA AFYA YA WANYAMA WETU, INGEWEZA KUTUPELEKA MBALI MAISHANI!

    UHAI WA WANYAMA WETU NI UHAI WETU!

    ReplyDelete
  4. Huyu kijana anafaa kuwa Naibu Waziri wa Mawasialiano na Uchukuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...