Home
Unlabelled
mshkaki halisia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
UNYAMA KWA WANYAMA HUWAFANYA WATU KUWA WANYAMA.KAMA NYUMBA ISIYO NA MWENYE.
ReplyDeleteAmazing!! hapo tatizo letu wabongo ndo hatuoni upande wa pili wa shilingi zaidi ya hiyo ya kuwaza mishikaki.hapo binafsi najifunza uwenzo mkubwa wa akili ya kumudu mambo katika wakati husika aliojaliwa mtanzania.Tufanye mahojiano na watu wa aina hii lazima wana vipaji vingine zaidi ambavyo vikiibuliwa na kuwezeshwa lazima tutapata watu wenye manufaa sana katika jamii yetu.katika akili ya kawaida mtu anamudu mbuzi watano hafu ukizingatia mbuzi alivyo mtukutu hafu anatambaa nao vema kwa bodaboda kyeee.. nampongeza sana huyu kijana nina imani ana fikra njema tena za tija na kukuza uchumi.ni mtazamo wangu tu.
ReplyDeleteKAMA TUKIWEZA KUUNGANISHA AFYA YETU NA AFYA YA WANYAMA WETU, INGEWEZA KUTUPELEKA MBALI MAISHANI!
ReplyDeleteUHAI WA WANYAMA WETU NI UHAI WETU!
Huyu kijana anafaa kuwa Naibu Waziri wa Mawasialiano na Uchukuzi.
ReplyDelete