Hivi ndivyo hali ilivyo katika baadhi ya Mitaa ya Kariakoo Jijini Dar es Salaam hivi sasa,Maana kila mwenye gari anajiona yeye ndie mwenye haki ya kupita kuliko mwenzie.hapa ni magari yakiwa yamegoma kupishana katika mtaa wa Likoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbona huku ulaya mambo haya hakuna????Ivi hili nalo twahitaji wazungu jamani waje watuelekeze???yaani hakuna hata nzuri, kila usomapo habari ni huzuni tu taabu sana, sijui vichwa vyetu vimeingiwa na mdudu gani jamani.

    ReplyDelete
  2. Barara hazina alama za barabarani. Na madereva wengi wan adriving license fake sababu ya corruption.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...