Kijana  Masha  Yusuph mkazi wa  Iringa akiwa  ofisi ya mwanasheria  wa Halmashauri ya  manispaa ya  Iringa Bw Innocent Kihaga  (kulia) baada ya  kukamatwa  na mgambo  wa Manispaa hiyo akichafua ukuta  wa bustani ya Manispaa kwa kubandika matangazo yake  bila  kibali
Mgambo  wa Manispaa ya  Iringa  wakiwa  wamemweka  chini ya ulinzi kijana Masha  Yusuph  kwa  kuchafua mji
Hapa   wakimtaka  kijana  huyo kuokota takataka  alivyokuwa akizitupa ovyo baada ya  kubandika matangazo yake
Hapa  akipelekwa  ofisi  za Mwanasheria  na kupigwa faini ya  shilingi 50,000 kwa  uchafuzi  wa mazingira



Hapa  akiingizwa katika  ofisi  za Mwanasheria.
Picha na Francis Godwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. The best arrest ever! Mgambo wanatembea na mshatakiwa kama marafiki wanaoelekea kijiweni! I like this
    Na ushahidi umebebwa na mgambo

    ReplyDelete
  2. uonevu tu. Wanaodhulumu na kuliibia taifa mamilioni kila siku wako huru na hakuna anaewabughudhi, kuwataja au kuwaweka kwenye mtandao. mlala hoi anatafuta shilingi ajaze tumbo anakamata na media yote tanzania inaalikwa kumuona na kumbandika katika internet

    ReplyDelete
  3. Good start TZ. Dar-es-salaam nao watume timu ya wataalamu wa mazingira wakajifunze iringa

    ReplyDelete
  4. Kama mji wa Moshi wameweza kwingine inawezekana.... good start Iringa hope wengine watafuata pia

    ReplyDelete
  5. Tezama ukuta wenyewe ni uchafu. unabomoka bila kuguswa. Tofali za chini zinamomonyoka. Engineer wa Manispaa Iringa angetakiwa kufunguliwa mashtaka kwa ku shawishi matumizi yasiyo takiwa kwa ukuta na siyo huyu kijana anayekitafutia posho.

    Wakubwa wanaochafua jina na sifa ya Tanzania iliyo achwa na Baba Yetu Mwalimu mbona hamu wakamati???? Wanaofilisi rasilimali za Taifa kwa Ufisadi na kukosesha ajira vijana mbona hamu wakamati???

    ReplyDelete
  6. akajielze vizuri pia voda na matangazo yao waliyompa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...