![]() |
Mgambo wa Manispaa ya Iringa wakiwa wamemweka chini ya ulinzi kijana Masha Yusuph kwa kuchafua mji |
![]() |
Hapa wakimtaka kijana huyo kuokota takataka alivyokuwa akizitupa ovyo baada ya kubandika matangazo yake |
![]() |
Hapa akipelekwa ofisi za Mwanasheria na kupigwa faini ya shilingi 50,000 kwa uchafuzi wa mazingira |
![]() |
Hapa akiingizwa katika ofisi za Mwanasheria. Picha na Francis Godwin |
The best arrest ever! Mgambo wanatembea na mshatakiwa kama marafiki wanaoelekea kijiweni! I like this
ReplyDeleteNa ushahidi umebebwa na mgambo
uonevu tu. Wanaodhulumu na kuliibia taifa mamilioni kila siku wako huru na hakuna anaewabughudhi, kuwataja au kuwaweka kwenye mtandao. mlala hoi anatafuta shilingi ajaze tumbo anakamata na media yote tanzania inaalikwa kumuona na kumbandika katika internet
ReplyDeleteGood start TZ. Dar-es-salaam nao watume timu ya wataalamu wa mazingira wakajifunze iringa
ReplyDeleteKama mji wa Moshi wameweza kwingine inawezekana.... good start Iringa hope wengine watafuata pia
ReplyDeleteTezama ukuta wenyewe ni uchafu. unabomoka bila kuguswa. Tofali za chini zinamomonyoka. Engineer wa Manispaa Iringa angetakiwa kufunguliwa mashtaka kwa ku shawishi matumizi yasiyo takiwa kwa ukuta na siyo huyu kijana anayekitafutia posho.
ReplyDeleteWakubwa wanaochafua jina na sifa ya Tanzania iliyo achwa na Baba Yetu Mwalimu mbona hamu wakamati???? Wanaofilisi rasilimali za Taifa kwa Ufisadi na kukosesha ajira vijana mbona hamu wakamati???
akajielze vizuri pia voda na matangazo yao waliyompa
ReplyDelete