Mchana wa leo katika pita pita za Mdau wa Globu ya Jamii Abdallah Masangu aliinasa taswira hii ya lori lililokuwa likikata kona katika eneo la Mikunguni,Zanzibar, na kushindwa kumaliza kona hiyo baada ya Kontena kuchoropoka na kuanguka chini. Pembeni pale ni mzee wa Feva akiwa amesimama kuhakikisha hautokei msongamano wa Magari Barabarani.
 Mdau akishangaa na kupiga mahesabu ya namna ya kunyanyua huu mzigo
 Kila aliyekuwa akipita eneo la tukio alijikuta akisimama na kuchukua taswira yake hata kama simu yake ni ya kitochi.Wadau tujihadhari sana na malori ya namna hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Haya ndio najaribu kuwafahamisha watu kila siku magari MABOVU kila mtu huko TZ anashikilia anataka scania 114 sijui 124 MIAKA YAKE NI 1980 UMEPATA JIPYA NI 1990S
    SASA HIVI MAGARI MBONA MAZURI TU YA KISASA MFANO DAF , BENZ IVECO JAMANI TUAMKENI TANZANIA KAMA MAFUNDI HAMNA WAKASOMEE TENA TAALUMA MPYA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...