Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi yuko ziarani kwenye wilaya za Mkoa wa Dodoma kutembelea shughuli za kilimo mashambani kufanya tathimini ya kilimo kwa msimu huu wa 2013. ziara hii inayotarajiwa kukamilika Jumanne wiki ijayo imekuja kwa lengo la kutathimini matokeo ya kilimo baada ya Mkoa wa Dodoma kufanya uzinduzi wa msimu na shughuli za kilimo miezi ya mwishoni mwa mwaka jana 2012.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akikagua moja shamba la mtama.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana, Mh Dr Mama yetu R.nchimbi kwa hatua unazo zichukuwa, kwakweli wewe ni mfano wa kuigwa.
    Wewe ni kiongozi wa kweli. Hongera Rais Kikwete kwa kututeulia akina mama wachapa kazi kama Dr Rehema Nchimbi, Dodoma sasa inajivunia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...