Salaam Ankal,
Natafuta mwanamume wa kitanzania mwenye umri usio chini ya miaka 55 mpaka 65 aishiye Eropeanzone hususani Holland( Netherland,Belgium, Germany,and scaninaviacountries like Sweden ,Norway and Denmark , mimi ni mtanzania ninaiyeishi zaidi ya miaka 30 Ulaya hususani Ujerumani, Natafuta mwanamume Mtz awezaje kuongea Kiswahili,kiingereza lakini sio lazima!!!
Nina binti wawili, wameolewa na nina wajukuu watatu, naishi kwa kujitegemea, nina umri wa miaka 57, naishi Hamburg na Berlin kikazi lakini makao yangu kimaisha ni Berlin
Naaomba majibu kwa Email: nganashe@gmail.com yaambatanishwe na picha na email adress, bila picha hakuna majibu!!!!!!
Asante Michu kwa kazi yako na Kazi njema


ungetangaza kwenye magazeti ya kiswahili ungewapata wengi haswa vijana wanaopenda kulelewa(marioo) tatizo kwenye internet wako wachache
ReplyDeleteUna hali mbaya sana kimaisha inaonekana!
ReplyDeleteimeeleweka lakini mbona mdau hajaelezea kuhusu kupimwa afya ,pia dini au sio lazima
ReplyDeleteMbona ww hujatoa picha yako
ReplyDeletemdau wa pili unaonyesha una upeo mdogo sana kimaisha.
ReplyDeleteKweli bwana wewe unatakaje kuona picha za prospectives kama wewe hujaweka yako na by the way kutaja kuwa uko sijui ujerumani manake nini ili watu wakubabaikie, umechelewa but good luck count me out.
ReplyDeleteGood luck I hope you will get what your looking for. but I am afraid it wont be easy...
ReplyDeletehuyu atataka kampani tu hana hali mbaya kimaisha - mtu ana watoto na wajukuu kishaona kila kitu!
ReplyDeleteHebu amkeni watu.Huyu aliotoa tangazo sio mjinga.Na sio mbaya kutoa mtu tangazo la kutaka partner jamani mbona huku nje ni kitu cha kawaida.Mnaleta kejeli na maneno yasio maana.Huyu ni mtu mzima na anatafuta mtu mzima mwenzie sasa wewe unaesema kuna kina Marioo wa kulelewa una maanisha nini.Kuweni na busara.Ninaejibu ni mwanamke mkereketwa.Acheni maneno yasio na vichwa wala miguu.Huna la kuandika nora wacha.Ustaarabu kitu cha bure.
ReplyDeletemichuzi hapa unakosea wengi wanatumia njia hiyo kujifanya wanakaa ulaya kumbe matapeli
ReplyDeleteMie nipo marekani umri Kwangu si tatizo tuwasiliane bado kijana sana Uko tayari jibu tuwasiliane
ReplyDeleteDuh biashara zinginee!! Unacho kibali cha kufanya hiyo biasharaaa lol
ReplyDeleteHuo umri tuu unatia mashaka,.si bibi wewe bado miaka mi3 kufika 60?
ReplyDeletemaskini una hata hamu kweli wee bi mkubwa?
Bibie, sasa mtu wa zaidi ya miaka 55 'uwezo' atakuwa nao?
ReplyDeleteNadhani ungeshusha umri kidogo angalau 45 hata mimi ungenipata!
Mara zote watu wa umri huo wanakuwa hata ile stamina ya mzigo kitandani imeshuka, inaonyesha kwa maisha yako ya Ulaya ungali unadai na unajisikia ni vile wanawake wenzako waliopo huku Afrika ktk umri huo wa 57 wameshastaafu!
Naahidi kukupa raha na kukusaidia ulezi wa vijukuu vyetu tafadhali!
Je, Bibie mtu mzima upo tayari kushusha mashariti ya umri hadi 45 angalau?
hahaha mwanaume wa miaka 55 au zaidi uwezo ungalipo hapo?
ReplyDeletewewe tafuta mwanaume wa miaka 45 uone msisimko kamili wa mchezo!
hahaha mwanaume wa miaka 55 au zaidi uwezo ungalipo hapo?
ReplyDeletewewe tafuta mwanaume wa miaka 45 uone msisimko kamili wa mchezo!
Mdau wa 3 kuogopa Ukimwi ni huku kwetu gizani, nchi za mbele Hifadhi ya Jamii ni ya uhakika zaidi hivyo madhara ya yapo chini, wala usichukue tahadhari ya vipimo wewe unamwendea pekupeku Bi Mkubwa huyo wa Ujerumani!
ReplyDeleteSasa naelewa kwanini wanafunzi wanaandika mashairi ya bongo flava huko tz. Kwa nini kabla ya kuandika husomi maelezo ukaelewe? Huyu mama anataka mtu wa eurozone,je hilo mnalielewa kwanza? Pili anataka mtu mzimaa sio kina marioo.
ReplyDeleteJifunzeni kusoma na kuelewa. Mnakera.
Hebu acheni dharau Mandela mwenyewe alitafuta pia mke mtu mzima mwenzie, kila mtu ana haki ya kuwa na mwenza maishani. Mwandishi tena kasema anatafuta mtanzania aliye "Eurozone" wa umri unaoendana na wake Tatizo liko wapi?
ReplyDeletejamani ana hela huyo anataka mtu wa kumsaidia kuzila changamkeni,ila angekuja huku mbona angepata serengeti boys wa miaka 18 wampe shughuli
ReplyDeleteBi Mkubwa Ujerumani,
ReplyDeleteKijogoo umenipata isipokuwa nipo chini ya umri huo unaotaka wa miaka 55 nina 44 pia nipo nyumbani Tanzania!
Kama umejukuu tena Mjukuu wa kike na mimi Kijogoo natoa mashariti yangu,
Nitakuoa wewe na Mjukuu wako mmoja awe mke mwenzio, ila usiwe na wivu wa mapenzi dhidi ya mjukuu wako kwa penzi lake kwangu mimi Kijogoo Kidume!
Bibie maisha ya Majuu yamekufanya uwe bado unadai, ni vile bado ungali unadai!
ReplyDeleteWenzio wa umri huo walioko huku Bongo wamesha zeeka na ni Vikongwe na hawana hamu limesha washuka.
Kwa mshawasha na hamu zako hizo ulitakiwa upate Kiserengeti boy ili ufikishwe kileleni unakokutaka!
Kwa nini uweke ukomo wa umri usiozidi miaka 55?
Ujana wako ule na nani na UZEE unataka kumuacha mtu akiitwa 'Mjwane' kabla ya siku zake? Nakushauri kwa umri huo mtafuta Mungu.
ReplyDeleteKaa ulee familia angalia mustakabal wa wajukuu wako. Umr ushakutupa ungekuwa mgeni huko ningesema unataka uraia ila miaka 30?........ By the way njoo umtafute huku bongo wamejaa hao
ReplyDeleteKaa ulee familia angalia mustakabal wa wajukuu wako. Umr ushakutupa ungekuwa mgeni huko ningesema unataka uraia ila miaka 30?........ By the way njoo umtafute huku bongo wamejaa hao
ReplyDeleteUje TZ hapa utafute mzee mwenzio. Wako wengi pale Kariakoo sokoni wauza nyanya, madereva wa teksi n.k.
ReplyDeleteKama kweli unashida ya mwanaume basi nakushauri utafute kwa kupitia marafiki na jumuiya ya watanzania hapo ulipo.
ReplyDeleteWEWE ULIYEOMBA KWA NINI HUJAJITAMBULISHA JINSIA YAKO. WEWE NI MWANAUME AU MWAMKE?
ReplyDeleteMimi umri huo wa miaka 55 sijafika, lakini kama tutakubaliana utanikubali kwa kweli Kidume mimi nitakurudisha nyuma umri wako wewe kutokea hiyo miaka 57 ujikute kana kwamba ndio karibuni hivi umetokea Kidato cha Nne (Binti wa Form Four), kwa shughuli nitakayokupa!
ReplyDeleteIlikuwa sikuu kuu ywa wajinga! Poleni sana wajinga mliojiparamia kwa majibu yenu mengine mazuri mengine ndiyo hayo tena,
ReplyDelete