Bi Shakila na 'Kifo cha Mahaba' anaweza kuliza wengi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Swadakta Bi Shakila Bint Said. Kweli KIFO CHA MAHABA kina idhilali ya peke yake, hakina haiba wala afadhali, ispokuwa adhaba juu ya adhaba na ukiwa dhaifu ndo hivyo tena waweza kujidhili nafsi bure!

    ReplyDelete
  2. Asante sana, nakumbuka mbali sana nilipopatwa na balaa la kukimbiwa na wangu mpenzi kisa majungu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...