Home
Unlabelled
TOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DA! HAPO HUHITAJI KADI YA MWALIKO, HATA MPITA NJIA UNAJICHANGANYA NA MNASHEA KIDOGO KILICHOPO. SIKU HIZI MPAKA MSIBA KADI ...UCHOYO MTUPU!!
ReplyDeleteMisupu unapotosha wasiojua!!Hizo sio sahani za nguna,hizo ni sahani za cheche au unaweza sema shaba au ubeche!!!nguna ni ugali bila kujali ni dona au sembe.Halafu mbona hujatuonesha mkono wako ni upi kwenye sahani ya waheshimiwa wenye ndizi?
ReplyDeleteKatika hiyo picha ya juu kabisa, mkono wa ankle ni upi wajameni? Maana inaelekea yeye alikuwa janvini aka meza kuu si unaona hao wengine hakuna jamvi wala nini?
ReplyDeleteHapo kila mtu ameshakaa mkao wa kula. Akisubiria huo ubeche upite, na shuti macho yanawatoka ukipita ubeche, halafu jamaa anapitiliza nalo hili sahani la ubeche noma kweli, hakuna kualikwa hapo mwanangu wewe ni kujichanganya tu kwa kwenda mbele
ReplyDeleteMjomba mbona sinia la picha ya kwanza juu limesha kamuliwa kwa kuliwa wali wote na maganda ya ndizi yamebaki?
ReplyDeleteKwa kweli Kazi ya Uwandazi (kugawa masinia ya ubwabwa) ktk Sherehe ni nzuri isipokuwa ina changamoto usipoanza kula kabla ya wewe kugawa unaweza kutoka kappa!,,,utakuta unagawa hadi Jikoni unakwisha na Msimamizi Mkuu Jikoni anaishia kuwaomba radhi Waandazi akiwaambia Ubawabwa mmegawa na umekwisha, labda mle matandu ya masufuria na ukoko, na saa zingine mnaweza kukuta hadi ukoko na matandu vimekwisha mmefunikwa!
Kwa jinsi Uchumi ulivyo yumba kwa miaka hii huwezi kukuta watu wakipangishwa mistari ya ubwabwa kama mwaka 1990 siku za Harusi!
ReplyDeleteHamuoni siku hizi mnaishia, Haluwa, Kahawa, Paketi za Biskuti, Vikopo vya Juisi na keki tu?