WESTERN JAZZ BAND NA NGOMA YAO YA 'VIGELEGELE' WALIKUWA HAWANA MSHINDANI
Home
Unlabelled
Ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe Ankal mshenzi wa tabia, hii kitu ilikuwa wapi siku zote hizo? Umenimaliza kaka.
ReplyDeleteWeraa ankal haya ndo mambo tunayotaka bwana.
ReplyDeleteFanya utuletee Veronika..oohh veronika mama eeh. Jamaa anatambua Veronika ni mgeni sana maeneo ya Dar. Wachaaaa
Ahsante Uncle hii kitu inanikumbusha marehem kaka yangu alikuwa anamuimbia mdago wetu akilia mpaka ana nyamaza, masikini M.mungu amrehem kaka yangu! hadi nimelia kwa kweli.
ReplyDeleteNakumbuka miaka ya tisini kulikua na sherehe sinza nyuma ya lion hotel, ktk ofisi ya CCM, wacha bwana, kulikua na mzee mmoja alikua anayarudi kinoma ulipopigwa wimbo huu.Masikini nilitamani sana nimuone tena yule mzee lakini sikupata bahati.
ReplyDelete