Watanzania wanaoishi New Jersey na New York City. Wanasikitika kutangaza kifo cha Mtanzania mwenzao Adolph aka Brian aka Thadeo Lwakajende kilichotokea tarehe 24 mwezi wa 4, 2013 hapa New Jersey, USA. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inaendelea huko New Jersey. Ili kufanikisha mipango hiyo wanawaomba watanzania wote popote pale walipo wajiunge nao kusaidia kuchangisha hela za shughuli hiyo. Unaweza kutuma hela kwa kutumia paypal adolffuneralcost@gmail.com au katika site hii ya Adolf sending home fund http://dt.tl/adolfsendhomecost .
Kwa mawasiliano ya shughuli hizi wasiliana na
Peter Luangisa (917) 681-6971
Rashidi Kamugisha (973) 703-4596
Bernard Kivugo (973) 580-7166
William Vedasto (973) 551-2916
Tunatanguliza shukurani zetu za dhati.
Adolph Katagira, kwaheri.
ReplyDeleteR.I.P Adolph.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa. Naona mwaka kuna kosa la uhandishi kwenye mwaka.
Jamani! This is too sad. Mungu ipuzishe roho ya huyu kijana Mdogo. Rest in peace mdogo wangu.
ReplyDeleteR.I.P Adolph.
ReplyDeleteWatanzania wenzangu mliopo ughaibuni jiungeni na NSSF Westadi ili mitihani kamaa hii ikiwafika muepukane na kupitisha michango.
Ndugu uliyeongelea NSSF, umesema la maana, lakini nadhanini bora kujiunga na insurance za nchi za nje huku huku ambazo zinaweza kuwa na uhakika zaidi, kama vile kujibu simu na kushughulikia matazizo haraka.
ReplyDeleteMpaka hivi sasa mimi nimejaribu miezi sita kupata information za hizo NSSF insurance kutoka ubalozini na hazipatikani kirahisi, je nikifa?