Moja ya timu zijazotumia uwanja wa Majimaji ikijitupa uwanjani kusukuma gozi.
Uwanja umeharibika pitch, sehemu za kukaa, vyoo nk. Unahitaji ukarabati mkubwa. Shukrani kwa Hayati Dr Lawrence Gama kwa kujenga uwanja huu. Alikua bado hajaukamilisha..JPG)
Wachezaji wa timu ya Majimaji Kabla ya kupiga mechi ya mwisho ya ligi daraja la kwanza. Hata hivyo wameshindwa kufuzu kucheza ligi kuu msimu ujao Baada ya kuzidiwa point na Mbeya City waliopanda daraja. Majimaji ilikua mshindi wa pili na hivyo Wananchi wa Songea na Ruvuma wataendelea kuisikia ligi kwenye radio na kuitazama kunako TV
eneo la Hightable uwanja wa Majimaji.Picha na Mdau Gerson Msigwa


Wamwite Kibadeni na John Kabisama waushughulikie huo uwanja. Hao ndio wakongwe wa hiyo Timu.
ReplyDeleteVery sad indeed! Wakati nasoma na kucheza mpira Songea Boys, aka Box II, kule Luhira, uwanja huu ulikuwa among the best kusini yote!
ReplyDeleteI have memories of playing here and scoring goals enzi za UMISETA!! Tulimaliza hapa na tuliochaguliwa timu ya mkoa tukaenda kucheza Umoja stadium ya Mtwara, wakati ule lilikuwepo jukwaa moja tuu, sijui siku hizi.