Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi yuko ziarani kwenye wilaya za Mkoa wa Dodoma kutembelea shughuli za kilimo mashambani kufanya tathimini ya kilimo kwa msimu huu wa 2013. ziara hii inayotarajiwa kukamilika Jumanne wiki ijayo imekuja kwa lengo la kutathimini matokeo ya kilimo baada ya Mkoa wa Dodoma kufanya uzinduzi wa msimu na shughuli za kilimo miezi ya mwishoni mwa mwaka jana 2012.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akikagua moja shamba la mtama.
Hongera sana, Mh Dr Mama yetu R.nchimbi kwa hatua unazo zichukuwa, kwakweli wewe ni mfano wa kuigwa.
ReplyDeleteWewe ni kiongozi wa kweli. Hongera Rais Kikwete kwa kututeulia akina mama wachapa kazi kama Dr Rehema Nchimbi, Dodoma sasa inajivunia.