Ankal akiritachi kialaza kwenye saluni ya Bitebo jnr Hair Designer chini ya mikono  stadi ya kula vichwa ya Masudi Bitebo maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es salaam. Yeye anaipenda saluni hii kwa sababu mataulo, mikasi na hata sabuni huwekewa mteja mahususi tena kwa jina. Hakuna kuchanganya madawa hapo....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2013

    ankal kata kitambi, huko ni kukaribisha kisukari na na marahi mengine!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2013

    Kweli Ankal umezeeka kak yangu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2013

    Ankal, hiyo the fulanaz ni ya chadema?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2013

    ankal, vipi kijust becoz chako hubadilishi? je unakifuaga? nitapata na mimi fulana moja? Joe, Sc.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2013

    Kaka naona afya inazidi KUCHANA siku hadi siku....Tugawane Neema.

    Maina A.Owino

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2013

    dah ankal braza mkuu michu unaonekana choka mbaya...kwel bongo maisha magumu sana hadi sura zinazeeka kabla ya muda...last tym ulivyokuja unyamwezini sura ilitakata sana..inabid urudishe trip za kuja mamtoni bongo isije kukuua braza

    mdau
    uswiss

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 17, 2013

    haha kaka michuzi unasema life ya bongo safi wakati nakuona sura yako hapo imekaza sababu ya ugumu wa maisha.

    Kila siku humu wadau wako wanataka tuliopo nje turudi eti life ni safi sana??ha ha kama ankali mwenyewe hv je sisi wengine tukirudi si ndo sura zitakuwa za vikongwe kabisa.

    j4-chicago

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2013

    nikikuangalia mh michuzi ndio naamini hata ukiwa na pesa bongo hapafai.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 17, 2013

    ankal mbona fulana chafu hivyo? inaoshwa kweli?
    Asante

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 17, 2013

    Michuzi wewe ni share holder hapo au, mbona hata taulo limeandikwa 'Michuzi'? Au wewe ni mteja wa kilasiku?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 17, 2013

    Ankal na kile kidooo pia kimeandikwa michu?

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 17, 2013

    chezea bongo wewe
    eti ooh bongo mambo safi thubutuuu

    bongo hata ukiwa na mihela utachoka fasta hizo hambushi za malaria sijui jua kali balaa balaa kibao usifanye mchezo

    munamuona ankali alivyochoka kudadadeki halafu ooh bongo mambo super

    mimi huko ni kuja kutembea na kurudi zangu huku kwenye maisha ya kweli

    ankali unaweza kumfananisha na mzee wa ughaibuni mwenye miaka 80

    pole sana ankali kaza buti ongea na mkuu aweke mambo safi kwa kila mtanzania ili mjikomboe.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 17, 2013

    Yaani hiyo ndoo hapo nyuma ndio inayoelezea hiyo saloon ni
    ya aina gani.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 17, 2013

    Ugumu wa Kazi na Majukumu ndio unamzeesha Ankali licha ya UWEZO ALIONAO KIFEDHA!

    KAZI MCHEZO?,

    HEBUA ANGALIA UNATOKA OFISI KUU YA NCHI MUDA MWINGI, KAMA MJUAVYO KOTI ALILONALO ANKALI NI ZITO HUKO ALIKO ANAKUWA HANA RATIBA KAMILI YA MUDA WA KUTOKA KAZINI NA MAPUMZIKO.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 17, 2013

    Ankali una uhakika gani kama Taulo lako hapewi mwingine ukitoka licha ya kuwa limeandikwa jinalako?

    Je, wakiligeuza si wanaweza andika jinala mtu mwingine labda KULI MMOJA MEBEBA MAGUNIA inawezekana mnachangiA TAULO moja ila kila mmoja na upande wake.

    Sasa Wadau wakikupokea hapo Saluni wanakuonyeshea upande wenye jina lako, unakuwa umeuziwa mbuzi kwenye gunia!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 17, 2013

    MAMBO BONGO WAAAAAAAAAAAAAAAA!

    ''LAKI SI PESA''

    Gas na Mafuta tunayo aridhini tutakuwa tena Masikini?

    Hivi kweli Mwenyezi atatuelewa vipi?

    Tunazeeka kwa ajili ya Majukumu na kukosa mapumziko kwa kazi kupita kiasi.

    Ndio maana tukija Majuu tunakoga sana!

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 17, 2013

    Maisha matamu sana Bongo nyumbani!

    Mimi Napata Fedha yangu kiasi inanitosha nanunua Dona langu kwa Kambale, inabaki chenji.

    Sasa wewe unabeba Miboxi ugenini, unalipishwa Kodi, unapewa MASHARITI MAGUMU ya kukaa na Sheria.

    Pana jamaa nilipofika Marekani nilimpigia simu, jamaa hakupokea!

    Kwa bahati nilikuwa na Address ya kwake nikachukua Mkebe hadi mlangoni kwake nikamkuta !

    Nilipomuuliza kama hajaona simu alisema aliona Namba haifahamu akajua ni UHAMIAJI WA MAREKANI wanamtafuta maana alikuwa hana Vibali vyovyote kukaa US.

    Ya nini tabu yote hiyo?

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 17, 2013

    Bongo kaza BUTI!

    Wandugu majuu mnajua ukiwa unakula kula ovyo ndio unakuwa na afya mbovu kama ninyi mlivyokuwa huko na Mabagazzz yenu.

    Hapa Bongo kula kwa TINDO ndio maana Ankali ana fedha lakini mnaona anazeeka !

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 17, 2013

    WEWE MDAU HAPA JUU UNASEMA MAISHA YA BONGO NI MATAMU NI WIVU UNAKUSUMBUA.MAREKANI HATA KAMA ULIFIKA KWA MTU MJINGA KAMA WEWE,HUJUI MAISHA KIBALI CHA KUISHI ULAYA ATAKUPA NANINI?ISHIA HUKO HUKO KWENYE MAVI NA VUMBI MSHENZI KABISA WEWE.MDAU CHURCH HILL.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 17, 2013

    MICHUZI UMEZEEKA SANA,MPAKA USO UMEKUWA KAMA UNALIA NDUNGU?

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 18, 2013

    Mnaosema Michuzi kazeeka sijawaelewa. Mlitaka abaki kama mlivyomuona miaka kumi iliyopita? Msisahau uzee unakuja na hekima pamoja na busara zake.p

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 18, 2013

    Wadau Majuu mnataka msizeeke ili iweje?

    Kwa kuwa mnalipwa sana POUNDS nyingi ni vema mzeeke ili msisumbue watu Kimapenzi kwa kigezo kuwa ninyi ni Vijana na mnazo Fedha!

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 18, 2013

    Uzee muhimu maan Utu uzima dawa!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...