Ankal akiritachi kialaza kwenye saluni ya Bitebo jnr Hair Designer chini ya mikono stadi ya kula vichwa ya Masudi Bitebo maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es salaam. Yeye anaipenda saluni hii kwa sababu mataulo, mikasi na hata sabuni huwekewa mteja mahususi tena kwa jina. Hakuna kuchanganya madawa hapo....
Home
Unlabelled
ankal akipigwa sop-sop kwa Bitebo junior mwanamyamala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


ankal kata kitambi, huko ni kukaribisha kisukari na na marahi mengine!
ReplyDeleteKweli Ankal umezeeka kak yangu.
ReplyDeleteAnkal, hiyo the fulanaz ni ya chadema?
ReplyDeleteankal, vipi kijust becoz chako hubadilishi? je unakifuaga? nitapata na mimi fulana moja? Joe, Sc.
ReplyDeleteKaka naona afya inazidi KUCHANA siku hadi siku....Tugawane Neema.
ReplyDeleteMaina A.Owino
dah ankal braza mkuu michu unaonekana choka mbaya...kwel bongo maisha magumu sana hadi sura zinazeeka kabla ya muda...last tym ulivyokuja unyamwezini sura ilitakata sana..inabid urudishe trip za kuja mamtoni bongo isije kukuua braza
ReplyDeletemdau
uswiss
haha kaka michuzi unasema life ya bongo safi wakati nakuona sura yako hapo imekaza sababu ya ugumu wa maisha.
ReplyDeleteKila siku humu wadau wako wanataka tuliopo nje turudi eti life ni safi sana??ha ha kama ankali mwenyewe hv je sisi wengine tukirudi si ndo sura zitakuwa za vikongwe kabisa.
j4-chicago
nikikuangalia mh michuzi ndio naamini hata ukiwa na pesa bongo hapafai.
ReplyDeleteankal mbona fulana chafu hivyo? inaoshwa kweli?
ReplyDeleteAsante
Michuzi wewe ni share holder hapo au, mbona hata taulo limeandikwa 'Michuzi'? Au wewe ni mteja wa kilasiku?
ReplyDeleteAnkal na kile kidooo pia kimeandikwa michu?
ReplyDeletechezea bongo wewe
ReplyDeleteeti ooh bongo mambo safi thubutuuu
bongo hata ukiwa na mihela utachoka fasta hizo hambushi za malaria sijui jua kali balaa balaa kibao usifanye mchezo
munamuona ankali alivyochoka kudadadeki halafu ooh bongo mambo super
mimi huko ni kuja kutembea na kurudi zangu huku kwenye maisha ya kweli
ankali unaweza kumfananisha na mzee wa ughaibuni mwenye miaka 80
pole sana ankali kaza buti ongea na mkuu aweke mambo safi kwa kila mtanzania ili mjikomboe.
Yaani hiyo ndoo hapo nyuma ndio inayoelezea hiyo saloon ni
ReplyDeleteya aina gani.
Ugumu wa Kazi na Majukumu ndio unamzeesha Ankali licha ya UWEZO ALIONAO KIFEDHA!
ReplyDeleteKAZI MCHEZO?,
HEBUA ANGALIA UNATOKA OFISI KUU YA NCHI MUDA MWINGI, KAMA MJUAVYO KOTI ALILONALO ANKALI NI ZITO HUKO ALIKO ANAKUWA HANA RATIBA KAMILI YA MUDA WA KUTOKA KAZINI NA MAPUMZIKO.
Ankali una uhakika gani kama Taulo lako hapewi mwingine ukitoka licha ya kuwa limeandikwa jinalako?
ReplyDeleteJe, wakiligeuza si wanaweza andika jinala mtu mwingine labda KULI MMOJA MEBEBA MAGUNIA inawezekana mnachangiA TAULO moja ila kila mmoja na upande wake.
Sasa Wadau wakikupokea hapo Saluni wanakuonyeshea upande wenye jina lako, unakuwa umeuziwa mbuzi kwenye gunia!!!
MAMBO BONGO WAAAAAAAAAAAAAAAA!
ReplyDelete''LAKI SI PESA''
Gas na Mafuta tunayo aridhini tutakuwa tena Masikini?
Hivi kweli Mwenyezi atatuelewa vipi?
Tunazeeka kwa ajili ya Majukumu na kukosa mapumziko kwa kazi kupita kiasi.
Ndio maana tukija Majuu tunakoga sana!
Maisha matamu sana Bongo nyumbani!
ReplyDeleteMimi Napata Fedha yangu kiasi inanitosha nanunua Dona langu kwa Kambale, inabaki chenji.
Sasa wewe unabeba Miboxi ugenini, unalipishwa Kodi, unapewa MASHARITI MAGUMU ya kukaa na Sheria.
Pana jamaa nilipofika Marekani nilimpigia simu, jamaa hakupokea!
Kwa bahati nilikuwa na Address ya kwake nikachukua Mkebe hadi mlangoni kwake nikamkuta !
Nilipomuuliza kama hajaona simu alisema aliona Namba haifahamu akajua ni UHAMIAJI WA MAREKANI wanamtafuta maana alikuwa hana Vibali vyovyote kukaa US.
Ya nini tabu yote hiyo?
Bongo kaza BUTI!
ReplyDeleteWandugu majuu mnajua ukiwa unakula kula ovyo ndio unakuwa na afya mbovu kama ninyi mlivyokuwa huko na Mabagazzz yenu.
Hapa Bongo kula kwa TINDO ndio maana Ankali ana fedha lakini mnaona anazeeka !
WEWE MDAU HAPA JUU UNASEMA MAISHA YA BONGO NI MATAMU NI WIVU UNAKUSUMBUA.MAREKANI HATA KAMA ULIFIKA KWA MTU MJINGA KAMA WEWE,HUJUI MAISHA KIBALI CHA KUISHI ULAYA ATAKUPA NANINI?ISHIA HUKO HUKO KWENYE MAVI NA VUMBI MSHENZI KABISA WEWE.MDAU CHURCH HILL.
ReplyDeleteMICHUZI UMEZEEKA SANA,MPAKA USO UMEKUWA KAMA UNALIA NDUNGU?
ReplyDeleteMnaosema Michuzi kazeeka sijawaelewa. Mlitaka abaki kama mlivyomuona miaka kumi iliyopita? Msisahau uzee unakuja na hekima pamoja na busara zake.p
ReplyDeleteWadau Majuu mnataka msizeeke ili iweje?
ReplyDeleteKwa kuwa mnalipwa sana POUNDS nyingi ni vema mzeeke ili msisumbue watu Kimapenzi kwa kigezo kuwa ninyi ni Vijana na mnazo Fedha!
Uzee muhimu maan Utu uzima dawa!!!
ReplyDelete