Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai ) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wereld Missie Hulp Peter Houlleberghs na Ilona De Coster Mkurugenzi Msaidizi. Balozi Kamala ametembelea Taasisi hiyo yenye makao makuu Antiwerpen Belgium kuiomba kushirikiana na Tanzania katika harakati za kupambana na umaskini na kufikia malengo ya milenia. Taasisi hiyo imekubali ombi la Dkt. Balozi Kamala.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...