Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sijafahamu hayo mapicha ni yanini? au yana uhusiano gani na hiyo taarifa?
ReplyDeletehuu ulimbukeni tutauwacha lini kila siku tutabakia nyuma kwa kushangaa ya wenzetu.
Unashangaa?Hicho ni kitu cha kawaida hapo Bongo.Picha na habari havilingani kabisa.Hivi hilo jengo liko Dsm au Tokyo?Hapo mimi ndiyo nashindwa kuelewa saa ingine,kuwa hawa waandishi wa hizo habari wameenda shuleee! au la?Mtu anaandika habari utafikiri anajiandikia mwenyewe,hajui habari inasomwa ulimwengu mzima.Kwenye internet gazeti la Majira nilisoma habari ambayo inatakiwa mkarimani wa Kiswahili ili kuielewa mfano;
ReplyDelete“24 May 2013 Majira: Bw.Haulea lisemaumoja huoulianza mwak a1963 a mbapohadi sasamafa nik iowaliyoya patani onge zekolawa nachamakuto ka32hadi54,kupat ikanakw auhuruwa nchi ya S udanKusin i,vio ngozi wanawak ebaraniAf rikanawananchiku waheshi muviong ozi wanchi zao .
A lisemambali ya mafanikio waliyopa tapiakunachangamotozilizopoka tika nchi wanachama kamatis hiolaugaidi, uh aramiana hali te tekati ka baadhiyanchi kam aSomalia na Mali..mwisho wa kunukuru.Bongoland kweli.
Hivyo usishangae kwani huenda kapata kazi ya uandishi au ku design page wala hana qualifications.
Hiyo picha ni ya mahali pa tukio. Walengwa wanafaidika na picha hiyo kwa kupata urahisi wa kujua mahali pa kwenda. Pole kwa kukereka, ispokuwa inawekana kuwa sio 'ulimbukeni' bali werevu. Stop, think, before judging!
ReplyDeleteMdau wa kwanza labda ni picha ya hotel husika ambapo ndipo mkutano utakapofanyika. Sasa kama ni hivyo huo ulimukeni upo wapi? Ama ni wivu tu!.
ReplyDelete