Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania <ke Zakaria Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe Zakaria Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimsindikiza mgeni wake Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe Zakaria Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya mazungumzo yao. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu, Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...