TAARIFA ILIYOTUFIJIA HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA,ALBERT MANGWEA (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA HUKO NCHINI AFRIKA YA KUSINI.

CHANZO CHA KIFO CHA MSANII HUYO BADO HAKIJAFAHAMIKA.

GLOBU YA JAMII INAENDELEA KUFUATILIA TUKIO HILO LA KIFO CHA MANGWEA NA TAARIFA KAMILI ITAKUJA BAADAE KIDOGO. HEBU JIKUMBUSHE HAPA CHINI NA KIBAO CHAKE CHA 'MIKASI'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. ngoja tusubiri huo uthibitisho

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2013

    Rest In Peace Ngwea!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2013

    Mungu akulaze mahala pema Mangwea.

    Lakini kaka Michuzi haya makosa utayaacha lini "ILIYOTUFIJIA"
    jamaan chonde chonde hakiki taarifa kabla hujairusha hewani

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2013

    VIJANA TUJIEPUSHE NA MADAWA YA KULEVYA. OM SHANTI, SHANTI, SHANTI...!

    ReplyDelete
  5. al miss you ngwea.kimya changu cha heshma ni kwako nigger.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2013

    Mungu ailaze roho ya marehenu albert mangwea mahali pema peponi...Amin

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2013

    mungu amlaze mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2013

    R.I.P ngwea.....mungu amekupenda zaidi

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2013

    RIP NGWEAR

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2013

    R.I.P. Albert Magwear

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 29, 2013

    Youre Gone But Not Forgotten
    we will keep your name and music live on the street.
    we will always gona miss u.
    REST IN PEACE HOMIE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...