TAARIFA ILIYOTUFIJIA HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA,ALBERT MANGWEA (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA HUKO NCHINI AFRIKA YA KUSINI.
CHANZO CHA KIFO CHA MSANII HUYO BADO HAKIJAFAHAMIKA.
GLOBU YA JAMII INAENDELEA KUFUATILIA TUKIO HILO LA KIFO CHA MANGWEA NA TAARIFA KAMILI ITAKUJA BAADAE KIDOGO. HEBU JIKUMBUSHE HAPA CHINI NA KIBAO CHAKE CHA 'MIKASI'
ngoja tusubiri huo uthibitisho
ReplyDeleteRest In Peace Ngwea!
ReplyDeleteMungu akulaze mahala pema Mangwea.
ReplyDeleteLakini kaka Michuzi haya makosa utayaacha lini "ILIYOTUFIJIA"
jamaan chonde chonde hakiki taarifa kabla hujairusha hewani
VIJANA TUJIEPUSHE NA MADAWA YA KULEVYA. OM SHANTI, SHANTI, SHANTI...!
ReplyDeleteal miss you ngwea.kimya changu cha heshma ni kwako nigger.
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya marehenu albert mangwea mahali pema peponi...Amin
ReplyDeletemungu amlaze mahali pema peponi.
ReplyDeleteR.I.P ngwea.....mungu amekupenda zaidi
ReplyDeleteRIP NGWEAR
ReplyDeleteR.I.P. Albert Magwear
ReplyDeleteYoure Gone But Not Forgotten
ReplyDeletewe will keep your name and music live on the street.
we will always gona miss u.
REST IN PEACE HOMIE