Nahodha wa
timu ya Chuo cha St.Augustine (SAUT),Jimy Nikas akionyesha kitita cha
sh.500,000 mara baada ya chuo hicho kutetea ubingwa wa mashindano ya Safari
Lager Pool Higher Learning Pool Competitio 2013 Mwanza yaliyomalizika mwishoni
mwa wiki katika ukumbi wa Villa Park.
Bingwa wa mashindano ya Pool yajulikayo kama Safari
Lager Pool Higher Learning Pool Competitio 2013 Mwanza, Vitalis Bakilane akiwa amebebwa na mashabiki
mara baada ya kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Dar es Saalaam tena wakati wa
mashindano hayo yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Villa Park
jijini Mwanza.
Mabingwa wa mchezo wa Pool Mkoa wa Dar es Salaam,CBE wakishangilia na kitita cha sh.500,000 mara
baada ya kuibuka washidi katika mashindaano hayo yajulikanyo kama
Safari Lager Pool Higher Learning Pool Competitio 2013 yaliyomalizika
mwishoni mwa wiki Meeda Sinza jijini Dar es Salaam.
Bingwa
Mtetezi wa mashindano ya Pool yajulikayo kama Safari Lager Pool Higher Learning
Pool Competitio 2013 Mkoa wa Dar es Salaam na Taifa, Peter Patrick akiwa
amebebwa na mashabiki mara baada ya kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Dar es Saalaam
tena wakati wa mashindano hayo yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Meeda Sinza
jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...