Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,akiagana na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Ziara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mpya China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,akiagana na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi mbali mbali wa Serikali katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China,{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...