Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kikao cha cha 'steering committee' cha Umoja wa wake wa Marais wa Afrika (OAFLA) kilichofanyika Addis Ababa
![]() |
| Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wake wa Marais na Wakuu wa nchi za Afrika wakipata maelezo katika moja ya taasisi za Ethiopia |
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa ameongozana na baadhi ya wake wa Marais na Wakuu wa nchi za Afrika wakielekea kwenye mkutano wa Umoja wa wake wa Marais (OAFLA) huko Addis Ababa nchini Ethiopia


+kilichofanyika+Addis+Ababa+tarehe+26.5.2013.jpg)
+huko+Addis+Ababa+nchini+Ethiopia+tarehe+26,5.2013+(1).jpg)
+huko+Addis+Ababa+nchini+Ethiopia+tarehe+26,5.2013+(2).jpg)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...