Home
Unlabelled
Hotuba Ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje Bungeni leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Vipi kuhusu Gharama za Vita dhidi ya Malawi mbona sijaziona ktk Bajeti yenu?
ReplyDeleteMlitakiwa mtufafanulie Watanzania ni vipi gharama za kutetea umiliki wa sehemu ya Ziwa Nyasa inapangwa?
Ijulikana kati ya haya mawili:
1.Kuendesha Kesi kwa kutenga fungu la gharama ya Kesi ya Madai za Ziwa yanayofikishwa na Malawi kwenye Mabaraza mbalimbali duniani na Kampeni zao ktk mchakato huo.
2.Kuendesha Harakati ikibidi kutumia Ujasusi au hata Vita, wacha tulaumiwe lakini tuyatetee maisha ya Watanzania ktk ufukwe wa Ziwa Nyasa kwa gharama yoyote ile.
Mpange Bajeti ya Wizara kwa hayo Matumizi ya Ofisi za Ubalozi nje lakini Suala tete la hii Kesi ya Ziwa Nyasa linahitaji pia fungu la kutosha ili tuweze kufikia lengo!