BMW Z3 - 1998, 6gear AUTO, Convertible, RHD, Imported & registered in January 2013 for sale. Original Germany made.
Serious buyers (no middlemen) call +255684860860
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"Original Germany made"
ReplyDeleteKwani kuna BMW za uchina siku hizi?
Madalali wa kibongo bana, kaazi kweli kweli
Hiyo gari ilivyo chini itapita barabara zipi hapa bongo na barabara zimejaa matuta na mahandaki?
ReplyDeletewee wa kwanza acha kutojua siku hizi kuna bmw za south africa na japan ni nyingi tu hapa bongo kama ulikuwa hujui
ReplyDeleteTusione ajabu Mchina ni hatari sana kwa ku-Kopi bidhaa!
ReplyDeleteMchina ktk Viwanda vyake na Tekinolojia kwa uchache kabisa ameweza kufyatua bidhaa muhimu zifuatazo:
1-makalio ya binaadamu,
2-kope za macho ya binaadamu,
3-makucha ya binaadamu,
4-Viungo Nyeti (Jinsia zote uzijuazo),
5-Simu ina laini hadi 4 huku Ujerumani na nchi zingine haziwezi,
6-Simu zinakohoa na kujamba,
7-kalamu zinakuwa na redio na tochi,
8-nywele za binaadamu,
9-misuli ya mikono kwa mabaunsa,
10-matiti ya wanawake,
na bidhaa zingine kibao tu!
hayo maajabu yamefanyika itakuwa kuifyatua BMW ambayo ni gari tu?