BMW Z3 - 1998, 6gear AUTO, Convertible, RHD, Imported & registered in January 2013 for sale.  Original Germany made. 
Serious buyers (no middlemen) call  +255684860860
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2013

    "Original Germany made"

    Kwani kuna BMW za uchina siku hizi?

    Madalali wa kibongo bana, kaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2013

    Hiyo gari ilivyo chini itapita barabara zipi hapa bongo na barabara zimejaa matuta na mahandaki?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2013

    wee wa kwanza acha kutojua siku hizi kuna bmw za south africa na japan ni nyingi tu hapa bongo kama ulikuwa hujui

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2013

    Tusione ajabu Mchina ni hatari sana kwa ku-Kopi bidhaa!

    Mchina ktk Viwanda vyake na Tekinolojia kwa uchache kabisa ameweza kufyatua bidhaa muhimu zifuatazo:

    1-makalio ya binaadamu,
    2-kope za macho ya binaadamu,
    3-makucha ya binaadamu,
    4-Viungo Nyeti (Jinsia zote uzijuazo),
    5-Simu ina laini hadi 4 huku Ujerumani na nchi zingine haziwezi,
    6-Simu zinakohoa na kujamba,
    7-kalamu zinakuwa na redio na tochi,
    8-nywele za binaadamu,
    9-misuli ya mikono kwa mabaunsa,
    10-matiti ya wanawake,

    na bidhaa zingine kibao tu!

    hayo maajabu yamefanyika itakuwa kuifyatua BMW ambayo ni gari tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...