Mabalozi wateule wanne pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria mteule wakisubiri kuapishwa asubuhi hii Ikulu jijini Dar es salaam. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria mteule Jaji Aloysius K. Mujulizi, Balozi Mteule Wilson Mutaganywa Kajumula Masilingi, Balozi Mteule Chabaka Faraji Ali Kilumanga, Balozi Mteule Mbarou Nassor Mbarouk na Balozi Mteule Modest Jonathan Maro.
Home
Unlabelled
Kuapishwa Mabalozi wateule wanne pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mbona mama MulaMula hatumuoni. Kulikoni?
ReplyDelete