Lori la kampuni ya Mafuta ya Lake Oil likiwa limepata ajali maeneo ya Mlima Nyoka-Mkoani Mbeya,Aidha katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa baadhi ya watu kadhaa walijeruhiwa.
Baadhi ya Wakazi kutoka maeneo mbalimbali ya Mlima Nyoka ikiwemo jirani na mji maarufu wa kibiashara,Uyole jijini Mbeya wakiwa wamejumuika kwa pamoja wakigombea mafuta yaliyokuwa yakimwagika,mara baada ya Lori la Lake Oil kupata ajali.Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.
Hahahahaha hahahaha hahahahah ahhahhahaha hahahaha mbeya mbeya mbeya mbeya, yaonesha safari hii walikua makini sana kwani walijishughurisha na mafuta tu na si kuchomoa betri tena, hahahahaha hahahaha wamejifunza kidogo,
ReplyDeleteYale yale watu hawakomi hawafikirii kufa....utadhani hawasikilizi habari .... akili zao zinakuja saa sita usiku.... watu wengi wamekufa kwa kukimbilia magari ya mafuta yaliyopata ajali.... hawafikiri kitakacho weza kutokea. Jamani hatakama ni umasikini sio hivyo....hali hiyo mpaka lini jamani?
ReplyDeleteHawa watu hawajui kama wanalichezea bomu? Likilipuka hapo hakuna cha salia mtume!
ReplyDeletemikono ya mwenye njaa haisubiri kunawa wakati chakula kinapopatikana....Viongozi wetu wanatutia umaskini sio makosa ya waongozwa.
ReplyDeleteSema genge la wezi wa mafuta ktk gari lililopinduka
ReplyDeleteUza roho baba usijali kufa kwani mwisho wa maisha ya duniani ni kifo tu. No any other alternative.Kumba mafuta hayo ya bwerere.
ReplyDelete