Kutokana na maombi ya wadau kibao ya kutaka kuona ngoma za asili za Tanzania sambamba na ngoma azipendazo ankal, Globu yako ya Jamii inatii amri hiyo ya wadau na kuanzia leo kutakuwa na ngoma zetu za kiasili. Tunaanza na Wachagga...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2013

    Thanks a lot. nimeburudika ile mbaya. Naomba link yenye nyimbo nyingine za kichagga.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2013

    Excellent Ankal! Huwa wachagga tunataniwa sana ya kuwa hatuna ngoma za asili. Thanks a lot. It has said it all.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2013

    Hapa ni Old Moshi Mbokomu - Fukeni Ankal

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2013

    Mistew utaanza na kinanani kama sio wachaga.
    Wasije kugairi bure wakachukua binti yao, Chezea wakwe wewe....LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...