Wssukuma na Nyoka wao...Mambo ya Bujora haya
Home
Unlabelled
Mkataa kwao mtumwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya Mwanamaduhu Msukuma wa Mujini Darisalama utauweza huo Mchezo?
ReplyDeleteUtalimudu Joka hadi kinywani mwako?
Ngosha, Mwanamaduhu, Shija unaeshinda kutwa ktk Migahawa ya Jijini Dar ukinywa Soda, Chips Mayai, Juisi na Keki kwa Mabagaz ukienda kwenu Malampaka kuchumbia ukapewa mashariti ya kucheza na Chatu Ukweni kwanza siku ya kupeleka Barua ya Posa utamudu?
Au utakodi Majeshi?
Utatumia Usanii gani kukodi Majeshi wakati wewe muhusika Mposaji ndio unatakiwa ukishuhudiwa na Wakwe watarajiwa ucheze na Joka?