Said Karoli hatosahaulika kwa ngoma yake ya 'Maria Salome'
Home
Unlabelled
NGOMA AZIPENDAZO ANKAL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankali,
ReplyDeleteKuupenda Muziki wa Nshomire sio bure!
Ni vema tujuwe au na wewe kimtindo 'umewekeza' huko Kanda ya Ziwa BK mitaa ya Nyaisho,Katerero na Kiziba?
Ahaaa wimbo huu unauma sana!
ReplyDeleteAliyechambuliwa kama Karanga kwa kweli unamuuma sana.
Mfano ni wiki imepita (LICHA YA ZILEEE 5-0 AMBAZO ZILISHAPITA ZIKAFUATIWA NA LIBOLO 5-0 PIA) tokea Yanga alipo mchambua Simba kama Karanga kwa kumgandamiza bila huruma Bao 2-0 utafikiri vile kama hamjui Mtani wake kabisa?
Jamani Saida yuko wapi???aisee huyu dada alipiga shoo sana kipindi chake, kweli muziki ni BIG G, ishatafunwa tayari..
ReplyDeletemzee wa libeneke umekumbusha mbali sanaaaaaana.
Unapo mchambua mtu kama karanga unakuwa umefaidi sana!
ReplyDeleteMaana umekuwa umepekua kila kona umemmaiza, naye Mchambuliwaji anakuwa hana jinsi Mchambuaji unakuwa daima ni Mjanja wake aliyechambuliwa.
Si mchezo msisikie wajameni.
Mara zooote Wana sanaa huwakilisha yaliyowatokea wao wenyewe ama watu wengine.
ReplyDeleteLakini wengi hutoa yaliyowahi kuwakuta wao wenyewe!!!
Hivi huyu bibie kutunga na kuimba Wimbo huu ina maana ndiye yeye mwenyewe yalimkuta nini ya kuchambuliwa kama karanga?
Ni heri marazote uwe Mchambuaji(Yanga) kuliko kuwa Mchambuliwaji
ReplyDelete(Simba).
Kuwa Mchambuliwaji ni Majanga!!!,,,(2-0),,,labda uwe umetaka kwa hiari yako mwenyewe kuwa mchambuliwaji.
Safi sana ingawa sielewi anaongea nini. Kibao safi sana. Asante kaka Michuzi.
ReplyDeleteMie ningependa wamlete US atufanyie show kali.
ReplyDeleteMkoje nyie mnaoinsert mambo ya simba na yanga kama hamuwezi kuhakiki kazi za sanaa kisanaa, mlale mbele! au mjinyonge saana! hahaaa
ReplyDelete