MTOTO RAMLA ADAM
MTOTO RAMLA ADAM kushoto akilishana keke na Zainabu Mhamila 'Ikota' wakati wa siku yake ya kuzaliwa kwake iliyofanyika nyumban kwao Buguruni jijini Dar es salaam. Ramla alitimiza miaka sita katika siku yake hiyo
Mtoto Ramla Adam kulia akiwa katika picha ya pamoja na mama yake mzazi na Zainabu Mhamila 'Ikota' na watoto wenzie

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...