
Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa Samsung Galax 4.

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar jijini Dar es Salaam leo wakati kampuni hiyo ikimtangaza kuwa Balozi wa wa Simu hiyo nchini.

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (wa tatu kushoto) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar (watatu kulia) jijini Dar es Salaam leo wakati kampuni hiyo ikimtangaza kuwa Balozi wa wa Simu hiyo nchini. Wengine pichani ni Mamodel wa Samsung (kulia na kushoto), Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt (wapili kushoto) na Sylvester Manyara ambaye ni Meneja wa Biashara ya reja reja.
Hongera FA..ila jifunze kuvaa kaka. Always disappointing when comes to unachovaa.
ReplyDeleteulitaka avae nini kwani??? ama kweli binadamu hatuachi malalamiko
ReplyDeleteNa mavazi yake mwenzako anawakilisha, wewe piga domo tu..
ReplyDeleteMsimlaumu anonymous wa kwanza yawezekana hatambui kua MwanaFA au binamu ni hiphopper na hiphop ni mfumo uliokamili wenye staili hata ktk mavazi.Binafsi ni hiphopper pia ni doctor specialist nipo scandnavia na mapigo yangu ndio kama hayo,japo kwa nje si kitu cha ajabu ila natambua uelewa wa baadhi watu kuhusu hili huko TZ.
ReplyDeleteMwanaFA umejikita kwenye ubalozi sasa. Safi sana manake pia wewe ni balozi wa Voda brand. Safi sana piga kazi.
ReplyDeleteHongera Binamu. Mwaka wako huu. Kofia TATU za kibalozi sio mchezo. Kwanza Balozi wa FISTULA, pili Balozi wa VODACOM na sasa Balozi wa SAMSUNG! Mungu akupe nini tena.
ReplyDeleteNenda Mheshimiwa Balozi. Nenda kawakilishe.