Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa Samsung Galax 4.
  Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar jijini Dar es Salaam leo wakati kampuni hiyo ikimtangaza kuwa Balozi wa wa Simu hiyo nchini.
  Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (wa tatu kushoto) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar (watatu kulia)  jijini Dar es Salaam leo wakati kampuni hiyo ikimtangaza kuwa Balozi wa wa Simu hiyo nchini. Wengine pichani ni Mamodel wa Samsung (kulia na kushoto), Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt (wapili kushoto) na Sylvester Manyara ambaye ni Meneja wa Biashara ya reja reja.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2013

    Hongera FA..ila jifunze kuvaa kaka. Always disappointing when comes to unachovaa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2013

    ulitaka avae nini kwani??? ama kweli binadamu hatuachi malalamiko

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2013

    Na mavazi yake mwenzako anawakilisha, wewe piga domo tu..

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2013

    Msimlaumu anonymous wa kwanza yawezekana hatambui kua MwanaFA au binamu ni hiphopper na hiphop ni mfumo uliokamili wenye staili hata ktk mavazi.Binafsi ni hiphopper pia ni doctor specialist nipo scandnavia na mapigo yangu ndio kama hayo,japo kwa nje si kitu cha ajabu ila natambua uelewa wa baadhi watu kuhusu hili huko TZ.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2013

    MwanaFA umejikita kwenye ubalozi sasa. Safi sana manake pia wewe ni balozi wa Voda brand. Safi sana piga kazi.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2013

    Hongera Binamu. Mwaka wako huu. Kofia TATU za kibalozi sio mchezo. Kwanza Balozi wa FISTULA, pili Balozi wa VODACOM na sasa Balozi wa SAMSUNG! Mungu akupe nini tena.

    Nenda Mheshimiwa Balozi. Nenda kawakilishe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...