Said Karoli hatosahaulika kwa ngoma yake ya 'Maria Salome'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2013

    Ankali,

    Kuupenda Muziki wa Nshomire sio bure!

    Ni vema tujuwe au na wewe kimtindo 'umewekeza' huko Kanda ya Ziwa BK mitaa ya Nyaisho,Katerero na Kiziba?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2013

    Ahaaa wimbo huu unauma sana!

    Aliyechambuliwa kama Karanga kwa kweli unamuuma sana.

    Mfano ni wiki imepita (LICHA YA ZILEEE 5-0 AMBAZO ZILISHAPITA ZIKAFUATIWA NA LIBOLO 5-0 PIA) tokea Yanga alipo mchambua Simba kama Karanga kwa kumgandamiza bila huruma Bao 2-0 utafikiri vile kama hamjui Mtani wake kabisa?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2013

    Jamani Saida yuko wapi???aisee huyu dada alipiga shoo sana kipindi chake, kweli muziki ni BIG G, ishatafunwa tayari..

    mzee wa libeneke umekumbusha mbali sanaaaaaana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2013

    Unapo mchambua mtu kama karanga unakuwa umefaidi sana!

    Maana umekuwa umepekua kila kona umemmaiza, naye Mchambuliwaji anakuwa hana jinsi Mchambuaji unakuwa daima ni Mjanja wake aliyechambuliwa.

    Si mchezo msisikie wajameni.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2013

    Mara zooote Wana sanaa huwakilisha yaliyowatokea wao wenyewe ama watu wengine.

    Lakini wengi hutoa yaliyowahi kuwakuta wao wenyewe!!!

    Hivi huyu bibie kutunga na kuimba Wimbo huu ina maana ndiye yeye mwenyewe yalimkuta nini ya kuchambuliwa kama karanga?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 25, 2013

    Ni heri marazote uwe Mchambuaji(Yanga) kuliko kuwa Mchambuliwaji
    (Simba).

    Kuwa Mchambuliwaji ni Majanga!!!,,,(2-0),,,labda uwe umetaka kwa hiari yako mwenyewe kuwa mchambuliwaji.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 25, 2013

    Safi sana ingawa sielewi anaongea nini. Kibao safi sana. Asante kaka Michuzi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 25, 2013

    Mie ningependa wamlete US atufanyie show kali.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2013

    Mkoje nyie mnaoinsert mambo ya simba na yanga kama hamuwezi kuhakiki kazi za sanaa kisanaa, mlale mbele! au mjinyonge saana! hahaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...