Mpira ni mpumziko katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam huku Yanga wakiendelea kuongoza kwa bao 1-0 lililofungwa dakika ya sita kipindi cha kwanza na mshmbuliaji Didier Kavumbagu. Simba ilipata penati dakika ya 28 na mpigaji Mussa Mudde akakosa kwa kupiga kizemba.
Mchezo kipindi cha kwanza ulikuwa ni wa vuta nikuvute, lakini Yanga walitawala hasa sehemu ya kiungo.
misupu kaka ttttooooooooooo much of soccer stuff! weka mbili tatu na tupe mpya nyingine
ReplyDelete