Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (kushoto) akizungumza na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Norman Sigara alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Leo asubuhi, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa, Bibi. Mariam Subuya, Mhe. Jaji Mkuu na ujumbe wake wako mkoani humo kwa ziara ya kutembelea Mahakama mkoani humo.
Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman (tai nyekundu)  akikagua nyumba mpya ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Mbeya leo  ikiwa ni juhudi endelevu za serikali kuwapatia waheshimiwa majaji mahali pazuri pa kuishi. Picha na Mary Gwera
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akipanda mti wa kumbukumbu mbele ya nyumba mpya ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya mapema Leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2013

    wanastahiki. ila waache mtindo wa kuuza nyumba za serikali, tumefikia hapa baada ya makosa yaliyofanyika kabla...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...