Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman (tai nyekundu) akikagua nyumba mpya ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Mbeya leo ikiwa ni juhudi endelevu za serikali kuwapatia waheshimiwa majaji mahali pazuri pa kuishi. Picha na Mary Gwera
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akipanda mti wa kumbukumbu mbele ya nyumba mpya ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya mapema Leo. |
wanastahiki. ila waache mtindo wa kuuza nyumba za serikali, tumefikia hapa baada ya makosa yaliyofanyika kabla...
ReplyDelete