Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli(Wanne kushoto),Waziri wa Fedha Mgimwa(kushoto),Mwakilishi wa Balozi wa Japan Bwana Kazuyoshi Matsunaga(Wapili kushoto),Mwakilishi mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) Bi.Tonia Kandiero(Wapili kulia) pamoja na mbunge wa Isimani William Lukuvi wakikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Dodoma Iringa sehemu ya Migori-Fufu Escarpment na Migori Iringa leo mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwahutubia wananchi waliohudhuria uzinduzi wa ujenzi wa Babarabara ya Dodoma Iringa leo mchana.
Baadhi ya Wananchi walihudhuria uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Dodoma Iringa eneo la Migori leo mchana(picha na Freddy Maro)
Michuzi, Mkandarasi nani? story ikamilishe basi
ReplyDeleteHongera sana serikali manake angalau sasa watu wa Iringa Mbeya Ruvuma na upande wa Dodoma Singida Arusha tutaacha kuzungukia Morogoro na kupunguza urefu wa safari.Naomba tu JICA wasiipe kazi kampuni ya Konoike kwani kwa mfano ujenzi wa njia ya MWENGE TEGETA ni kama umekufa ghafla na wako behind schedule kwa wiki nyingi tu
ReplyDelete