Abiria wakitoa ndani ya kmivuko cha mv Kilombero kutokea upande wa wilaya ya Ulanga, Morogoro, kwenda mjini Ifakara, wengi wao walitoka kuhudhuria sherehe za Siku ya Familia duniani iliyofanyika Kimkoa wilayani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera,akisikiliza simu yake ya mkononi, akiwa ndani ya kivuko cha Mv Kilombero, wilayani Kilombero wakati akielekea kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Familia Dunani wilayani Ulanga
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wanne kutoka kushoto) akifuatilia ngoma za utamaduni zilizokuwa zikiburudishwa na baadhi ya vikundi vya sanaa ( havionekani pichani) wakati wa maadhimisho yab siku ya Familia Dunani mwaka huu ambapo Kimkoa zilifanyika katika viwanja vua Shule ya Msingi Lupiro, wilayani Ulanga ( wapili kutoka kulia) ni Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Hassan Masala , na ( kwanza kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, Isabera Chilumba.
( Picha na John Nditi).
Neema Mussa , akiwa na mwanae Eline Baraka mwenye umri wa miaka mitatu, akiwa kwenye sherehe ya maadhimisho ya siku ya Familia kata ya Lupiro, wilayani Ulanga
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, akienda kutuza fedha kwa msanii wa kikundi cha ngoma ya sangula ya Lupiro, katika sherehe za Familia wilayani Ulanga. Picha na John Nditi |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...