'Hazina Lounge iliyopo Coco Beach(bar &lounge) jijini Dar es salaam inawakaribisha wadau wote 
wapenda burudani. Utapata muziki mzuri, vinywaji vya aina zote uzitakazo, na vyakula vya aina mbali mbali vinapatikana, na kwa wale wapenzi wa mpira, wataweza kuangalia mechi mbali mbali zinazoendelea ndani na nje ya nchi! huku ukipata upepo mzuri wa bahari. Mambo yote ni kila siku ndani ya Hazina lounge.Open from 11am. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2013

    Nimefika hapo...Sehemu poa na patulivu kwa watu wazima...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...