Mwandishi nguli na mwanamuziki Freddy Macha adokeza mambo mawili muhimu katika na tizi la pumzi katika kuimba na kuzungumza...
Home
Unlabelled
Uvutaji pumzi - Kuimba na Kuongea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
asante macha kwa ushauri wa mazoezi muhimu....ila pia pokea ushauri huu..umeishi ulaya miaka mingi lakini muonekano wako sio smart..hizo ndevu kaka umeziachia sana zimeota bila mpangilio hebu zikate vizuri au shave...wanasayansi wamebaini ukiwa smart hata muda wa kuishi unaongezeka braza!
ReplyDeleteJ4
hao watakuwa ni wanasayansi wa KIZARAMO, apunguze ndevu anaenda kuchumbia? hiyo pia ni style bana.
ReplyDeleteAsante sana kwa mafundisho yako. Lakini mimi nakuliza hizo programu zako hakuna sehemu nyingine ya kuzirekodi isipokua chooni?
ReplyDelete