Mwandishi nguli na mwanamuziki Freddy Macha adokeza mambo mawili muhimu katika na tizi la pumzi katika kuimba na kuzungumza...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2013

    asante macha kwa ushauri wa mazoezi muhimu....ila pia pokea ushauri huu..umeishi ulaya miaka mingi lakini muonekano wako sio smart..hizo ndevu kaka umeziachia sana zimeota bila mpangilio hebu zikate vizuri au shave...wanasayansi wamebaini ukiwa smart hata muda wa kuishi unaongezeka braza!

    J4

    ReplyDelete
  2. hao watakuwa ni wanasayansi wa KIZARAMO, apunguze ndevu anaenda kuchumbia? hiyo pia ni style bana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2013

    Asante sana kwa mafundisho yako. Lakini mimi nakuliza hizo programu zako hakuna sehemu nyingine ya kuzirekodi isipokua chooni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...