Mwenyekiti
wa chama cha Pool Mkoa wa Mbeya, Aron Samweli (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa
vya michezo vya mashindano ya Safari Lager Pool Higher Learning Mkoa wa
Mbea .Kulia ni Makamu Mwenyekiti , Obmark Malebeja.
Mwenyekiti
wa chama cha Pool Mkoa wa Mbeya, Aron Samweli (kulia) akimkabidhi
tisheti mwanafunzi wa Chuo cha TIA Mkoani Mbeya,Steven Kiasi kwa ajili
ya mashindano ya Safari Lager Pool yanayotarajiwa kuafanyika jumapili.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...