Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2013

    wakali kishenzi yani kipaji kimelala hapo kwa huyo dada na show yake ni kali kinoma.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2013

    jamani mimi ni mchaga lakini napenda kuona nakujifunza lugha nyingi,tuwekee video nyingi za saida.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2013

    Mkataa kwao mtumwa mbona Ruge mutahaba hapandijukwaani ?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2013

    Saida owo waitu, ulipotolea wapi? Mh ni siku nyingi husikiki! Napenda sana nyimbo zako. Kasinge wakola muno.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2013

    Kama si hawa wanyonyaji wa wasanii huyu dada angetakiwa awe "level" nyingine.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2013

    Saida msanii mkali sana sana alitakiwa awe katika level ya kimataifa lakini tatizo walimzunguka ukabila wameuweka mbele,watu tungependa kumpa shamvu lakini walio mzunguka wanasema ni nembo ya kikwao!
    sasa kwa style hii Saida atazeeka na umasikini.
    Nadhani ujumbe huu utamfiki meneja na poromota wake Bw.Madaraka kule mwanza

    ReplyDelete
  7. BADO YUPO CHINI YA RUGE?ATAKUFA MASKINI!!!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2013

    Namuunga mkono mtoa ushauri hapo juu kuwa ukabila upunguzwe na promota ajitahidi kuziweka katika lugha ya kiswahili. Nyimbo zake huyu Mama mara nyingi zina ujumbe umuhimu, ila ni wachache sana wanaonufaika na ujumbe huu. Kwa mfano huu wimbo wa kaisiki iwe, una maudhui muhimu kwa dada zetu wanopenda kuharibu mimba kwa makusudi bila kufikiria kuwa viumbe wanavyoua, vingeliwasaidia uzeeni, wakati mgongo umeshachoka na unainama kwa shida, matokeo yake ni kutuma wana wa wenzao wakiwa wazee wakati wakwo walishawatupa. Katika wimbo huu anauliza Kaisiki (maana yake Kasichana) unatuma wana wa wenzio, wakwako kaenda wapi? yaana huu wimbo we acha tu; una mafundisho kwa watoa mimba. Promota, please tafsiri huu wimbo, halafu utaona mauzo yatakavyo kuwa juu. Saida uko juu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...