Home
Unlabelled
BAADA YA KIMYA KIREFU,SAIDA KALORI AIBUKIA KILI MUSIC AWARDS 2013.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wakali kishenzi yani kipaji kimelala hapo kwa huyo dada na show yake ni kali kinoma.
ReplyDeletejamani mimi ni mchaga lakini napenda kuona nakujifunza lugha nyingi,tuwekee video nyingi za saida.
ReplyDeleteMkataa kwao mtumwa mbona Ruge mutahaba hapandijukwaani ?
ReplyDeleteSaida owo waitu, ulipotolea wapi? Mh ni siku nyingi husikiki! Napenda sana nyimbo zako. Kasinge wakola muno.
ReplyDeleteKama si hawa wanyonyaji wa wasanii huyu dada angetakiwa awe "level" nyingine.
ReplyDeleteSaida msanii mkali sana sana alitakiwa awe katika level ya kimataifa lakini tatizo walimzunguka ukabila wameuweka mbele,watu tungependa kumpa shamvu lakini walio mzunguka wanasema ni nembo ya kikwao!
ReplyDeletesasa kwa style hii Saida atazeeka na umasikini.
Nadhani ujumbe huu utamfiki meneja na poromota wake Bw.Madaraka kule mwanza
BADO YUPO CHINI YA RUGE?ATAKUFA MASKINI!!!!!!
ReplyDeleteNamuunga mkono mtoa ushauri hapo juu kuwa ukabila upunguzwe na promota ajitahidi kuziweka katika lugha ya kiswahili. Nyimbo zake huyu Mama mara nyingi zina ujumbe umuhimu, ila ni wachache sana wanaonufaika na ujumbe huu. Kwa mfano huu wimbo wa kaisiki iwe, una maudhui muhimu kwa dada zetu wanopenda kuharibu mimba kwa makusudi bila kufikiria kuwa viumbe wanavyoua, vingeliwasaidia uzeeni, wakati mgongo umeshachoka na unainama kwa shida, matokeo yake ni kutuma wana wa wenzao wakiwa wazee wakati wakwo walishawatupa. Katika wimbo huu anauliza Kaisiki (maana yake Kasichana) unatuma wana wa wenzio, wakwako kaenda wapi? yaana huu wimbo we acha tu; una mafundisho kwa watoa mimba. Promota, please tafsiri huu wimbo, halafu utaona mauzo yatakavyo kuwa juu. Saida uko juu
ReplyDelete