Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi kwanini mnaiita Tanzanian Shiling MADAFU?? Yaani kama tunajidharau wenyewe kweli tunaweza kulalamika mtu wa nje akitudharau???
ReplyDeleteJina ni jina bwana wewe, ebu tusonge mbele.
ReplyDeleteLugha ni mfumo wa sauti za nasibu zinazokubalika kutumika katika kuwasiliana, MADAFU=Shillingi ya Tanzania, call a spade a spade!
ReplyDeletekwi kwi kwi sasa iiitwaje mdau? unapo kata kitu baasi walau toa solution. inaitwa madafu maana kila kukicha inashuka thamani, kama madafu maana madafu kila kukicha yana anguka na kupoteza thamani tuna yapasua na kuyala. Haya mchana mwema. mweeee. Naona nchi ya Malkia hela yake iko juuu si mchezooo.
ReplyDelete