Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2013

    Hivi kwanini mnaiita Tanzanian Shiling MADAFU?? Yaani kama tunajidharau wenyewe kweli tunaweza kulalamika mtu wa nje akitudharau???

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2013

    Jina ni jina bwana wewe, ebu tusonge mbele.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2013

    Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zinazokubalika kutumika katika kuwasiliana, MADAFU=Shillingi ya Tanzania, call a spade a spade!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2013

    kwi kwi kwi sasa iiitwaje mdau? unapo kata kitu baasi walau toa solution. inaitwa madafu maana kila kukicha inashuka thamani, kama madafu maana madafu kila kukicha yana anguka na kupoteza thamani tuna yapasua na kuyala. Haya mchana mwema. mweeee. Naona nchi ya Malkia hela yake iko juuu si mchezooo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...